Kibarua walichonacho wakongwe hao kila mmoja ni katika kuwania pointi tisa zinazopatikana katika mechi tatu zijazo za Ligi Kuu Bara kabla ya kufika Oktoba 19 mwaka huu ambapo watakutana ...
Swali la ikiwa maandamano ya jana yamefanikiwa au la, bila shaka litakuwa na jawabu tofauti, kulingana na nani unaye muuliza.
Msingi wa ulinzi huo mkali, ni kuhakikisha wanadhibiti vilivyo maandamano yaliyoitishwa Septemba 11, 2024 na Chadema, waliyoyaita ya maombolezo na amani.
Hali imerejea kuwa ya kawaida jijini Dar es Salaam baada ya polisi kuimarisha ulinzi katika maeneo mbalimbali ya jiji la ...