Msingi wa ulinzi huo mkali, ni kuhakikisha wanadhibiti vilivyo maandamano yaliyoitishwa Septemba 11, 2024 na Chadema, waliyoyaita ya maombolezo na amani.
Hali imerejea kuwa ya kawaida jijini Dar es Salaam baada ya polisi kuimarisha ulinzi katika maeneo mbalimbali ya jiji la ...
Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania ambaye pia ni naibu mwenyekiti wa chama cha Chadema, Tundu Lissu amekamatwa kwa mujibu ...
CHAMA cha ACT Wazalendo kimekiomba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kusitisha maandamano ya amani yaliyopangwa ...
Hiyo ni kauli ya Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro aliyoitoa leo Jumatatu Septemba 23, 2024 ...
HATIMAYE Uwanja wa Jamhuri, Dodoma umerejeshwa katika orodha ya viwanja vinavyotumika kwa michezo ya Ligi Kuu Bara msimu wa ...
TAKWIMU zinaonesha kuwa licha ya Jiji la Dar es Salaam kuzalisha taka ngumu tani 4.5 kwa siku, ni asilimia 6.5 tu ya taka ...
Wito huo umetolewa Septemba 21, 2024 Dar es Salaam na Kaimu Ofisa Mkuu wa Kitengo cha Biashara Benki ya Akiba, Danford ...
Kwa mujibu wa Mkurugenzi mtendaji wa Hospital ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohammed Janabi, familia kushindwa kupata mtoto ...
SIMBA imeingia kambini tangu jana jijini Dar es Salaam tayari kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya Al Ahli Tripoli ya ...