Hali imerejea kuwa ya kawaida jijini Dar es Salaam baada ya polisi kuimarisha ulinzi katika maeneo mbalimbali ya jiji la ...
Ukiingia mtandaoni ni rahisi kuuliza kiasi cha umbali kutoka Dar es Saalam kwenda mikoa mbalimbali ya nchi yetu.
TAKWIMU zinaonesha kuwa licha ya Jiji la Dar es Salaam kuzalisha taka ngumu tani 4.5 kwa siku, ni asilimia 6.5 tu ya taka ...
Msingi wa ulinzi huo mkali, ni kuhakikisha wanadhibiti vilivyo maandamano yaliyoitishwa Septemba 11, 2024 na Chadema, waliyoyaita ya maombolezo na amani.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi mtendaji wa Hospital ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohammed Janabi, familia kushindwa kupata mtoto ...
CHAMA cha ACT Wazalendo kimekiomba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kusitisha maandamano ya amani yaliyopangwa ...
SIMBA imeingia kambini tangu jana jijini Dar es Salaam tayari kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya Al Ahli Tripoli ya ...
HATIMAYE Uwanja wa Jamhuri, Dodoma umerejeshwa katika orodha ya viwanja vinavyotumika kwa michezo ya Ligi Kuu Bara msimu wa ...
Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania ambaye pia ni naibu mwenyekiti wa chama cha Chadema, Tundu Lissu amekamatwa kwa mujibu ...
DODOMA: WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Uchukuzi iendelee kulisimamia kwa karibu Shirika la Reli Tanzania ...
Waziri wa Afya, Jenista Mhagama ameitaka Idara ya Kinga Wizara ya Afya kuimarisha mpango mkakati wa kusimamia suala la usafi ...
Radio Tanzania Dar Es Salaam ni chombo cha taifa la Tanzania ambacho hutoa burudani za aina mbalimbali kama vile muziki, ngoma za utamaduni, mpira, mashairi, taarabu na taarifa mbalimbali za kitaifa ...