Msingi wa ulinzi huo mkali, ni kuhakikisha wanadhibiti vilivyo maandamano yaliyoitishwa Septemba 11, 2024 na Chadema, waliyoyaita ya maombolezo na amani.
Wananchi wa kijiji cha Zinga kilichopo wilayani Kiwa Mkoa wa Lindi waliokuwa wakikabiliwa na changamoto ya umeme kwa muda ...
Makandarasi 42 wamesaini mikataba ya ujenzi wa barabara chini ya usimamizi wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini ...
Siku chache baada ya watu wasiofahamika kuvamia na kuvunja sanamu la Mwalimu Julius Nyerere katika Manispaa ya Tabora, mkuu ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara limesema uchunguzi wa awali umebaini kuwa Joel Johannes (14), mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Bagara, hakufika kileleni mwa Mlima ...
Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Kusini imekamata dawa zenye thamani ya zaidi ya Sh200,000 wilayani Masasi Mkoa ...
Soko la Machinga la Ukwaju lililopo eneo la Igoma Kata ya Kishiri jijini Mwanza, linalokadiriwa kuwa na zaidi ya ...
Serikali imewapa kibarua maofisa uhusiano ya umma katika ukanda wa Afrika Mashariki kukabiliana na ongezeko la habari potofu, ...
Songea. Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kuwakataa wanaotaka kuwagawa kwa sababu za kisiasa au tofauti za kiitikadi. Rais Samia ametoa kauli hiyo leo Jumatatu Septemba 23, ...
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amewataka wajasiriamali mkoani humo, kuzingatia kanuni zote za ubora, usalama wa chakula na mahitaji ya soko ili kuweza kuzalisha bidhaa bora ...
Muandaaji wa shindano la Bongo Star Search (BSS), Rita Paulsen amesema kinachokwamisha washindi wengi wa shindano hilo la ...
Mwanzilishi mwenza wa rekodi lebo ya ‘Death Row Records’ kutoka Marekani Suge Knight, ambaye kwa sasa anatumikia kifungo cha miaka 28 jela atoa angalizo kwa Diddy juu ya kutumia jina la Brother Love ...